1. Je, wajua kwamba binadamu pamoja na akili zake zote, pamoja na mbwembwe zake nyingi, bado hana uwezo wa kufikisha ulimi kwenye kiwiko cha mkono wake?
2. Je, wajua kwamba kama piza zinazoliwa kwenye bara la Amerika kwa siku zingepangwa zingeweza kuchukua eneo lenye ukubwa wa hekta 18?
3. Je, wajua kwamba kila binadamu ana alama tofauti kabisa na za kipeke katika ulimi wake (tongue-prints) kama zilivyo za vidole?
4. Je, wajua kuwa mnyama aina ya mamba huwa hana uwezo wa kutoa ulimi wake nje kutokana na maumbil yake?
5. Je, wajua kuwa farasi na panya ndi wanyama pekee wasiotapika?
6. Je, wajua kuwa jicho la mbuni ni kubwa kuliko ubongo wake?
7. Je, wajua kuwa licha ya binadamu kuwa na uwezo wa kubana pumzi zake, bado hawezi kujiua kwa njia hiyo?
8. Je, wajua kwamba kwa wastani kichwa cha mwanadamu hubeba nywele zipatazo 100,000 na kila unywele unakua kwa wastani wa sentimita 12.5 kwa mwaka?
9. Je, wajua kuwa siafu ndio viumbe pekee wasiolala maisha yao yote?
10. Je, wajua kwamba mwanadamu ambaye anaweza kuishi kwa wastani wa miaka kati ya 50-60, anaweza kuzalisha kiasi cha mate kinachofikia galoni 10,000?
Je wajua¿
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment