1:bill Gates alishawahi kumwambia mwalim wake kuwa lazima atakuwa millionea akifikisha miaka 30.. Akaw billionea akiwa na miaka 31
2:mabadiliko ya haraka ya kihisia kutoka kwenye mood ya furaha ukaingia kwenye mood ya huzuni ni kiashiria kwamba kuna mtu una mmiss sana
3:uwezo wa mwanamke kusoma hisi za mtu ni mara kumi ya uwezo aliona mwanaume
4:75% ya watu hujaribu kurud kitandani asubuhi Ili wamalize tu ndoto zao mbazo hazikukamilika
5:utafiti uliofanyika kwa watu wazima 3000 unasema kulala upande wa kushoto wa kitandani una kufany uwe na mitazamo chanya zaidi
6:viatu virefu wanavovaa dada zetu vilitengenezwa kwa ajili ya wanaume hasa wanaouza nyama buchan na lengo ilikuwa kuzuia kugusana na damu iliyopo chini
7:kwa wastani unaweza kujiangalia kwenye kioo mara tano na kiasi kikubwa ukajiona unavutia tofauti na uhalisia kumbe hata huvutii sana sasa ile ni kazi ya part fulani katika ubongo. Asante ubongo
8:kwa utafiti wa wanawake wa UK umeonyesha kwa siku wanawake hujitathimi juu ya muonekano wake s chini ya mara tisa
Na ni asilimia 4 tu ya wanawake ndo wanaridhika na muonekano waliona
9:111111111 mara 111111111=12345678987654321
10:ukilia unatoa homoni ya stress na ndo maana ukimaliza tu kulia unaanz kuhisi kama unajiskia vizuri hivi
Je Wajua?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment