Je wajua?

1:rangi halisi ya pundamilia ni nyeusi ile nyeupe ndo mkanda tu iliyojizungusha
2:HATA UJITAHIDI KWA NAMNA GANI HUWEZI KUKUMBUKA JINSI NDOTO ULIYOOTA ILIVYOANZA SAN SANA UTAKUMBUKA KATIKATI NA ILIVYOISHIA
3:kama mabinti mapacha wakiolew na wanaume wawili mapacha basi Watoto watakaozaliwa na kila couple watafanana kila kitu
4:KUNA WAKATI UNAHISI UME MMISS MTU FULANI UKWELI NI KUWA HAUJAMMISS YEYE BALI NI MEMORIES
5:75% ya mawazo yetu ni tafakar za kurudisha kumbukumbu na kutengeneza kwa Ubunifu wa hali ya juu namna tunavotaka maisha yawe mazuri
6:watu wenye tabia ya kuisaidia wengine mara kwa mara huwa na furaha na ina ongezeka jinsi wanavyozeeka
7:ASILIMIA 90 YA BINADAMU WANAFIKIRIA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU JUU YA JAMBO FULANI KIPINDI WAKIWA WANAOGA
8:asilimia 90 ya unawowasamehe bado unawahitaji kuwa sehemu ya maisha yako
9:mamalia anayekuwa haraka ni nyangumi na anayekuwa taratibu kupita wote ni BINADAMU
10:WANAUME WANAOWABUSU WAK ZAO KILA ASUBUHI WANA FAIDA YA KUISHI MIAKA 5 ZAIDI MBELE

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages