Kevin Fast, ni raia wa Canada,
ambaye pia ni mchungaji wa kanisa la Lutheran huko Canada
Jamaa aliweza kuishangaza dunia siku ya tarehe 17, septemba 2009 baada ya kuvuta ndege aina ya
CC_177_Globemaster_III katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Trenton, uliopo Ontario huko Canada.
Ndege hiyo ilikuwa na uzito wa tani 188.83 na aliivuta umbali wa mita 8.8.
Kevin Fast alifanikiwa kupata cheti cha taasisi ya rekodi za dunia ya
Guinness_World_Records
Jamaa aliweza kuishangaza dunia baada ya kuvuta ndege
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment