Watafiti wa masuala ya usingizi wa Chuo Kikuu Loughborough wamedai mwanamke anahitaji muda mwingi wa usingizi kuliko mwanaume kwa kuwa ubongo wake ni tata zaidi kuliko mwanaume. Wamedai ubongo wa mwanamke unafanya kazi nyingi zaidi ikilinganishwa na wa mwanaume.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment