(tarehe 22 April) ni "Siku ya Dunia", ambayo hutumika kuelimisha na kukumbusha watu juu ya umuhimu wa kutunza Mazingira...
Sehemu mbalimbali Duniani, watu hukusanyika na kutoa mchango wao fulani, iwe ni: kufanya makongamano yanayoelimisha ongezeko la Joto Duniani na athari zake, au kupanda miti, na matukio mengine mbalimbali...
Je wewe wafanya nini kuhakisha unatunza mazingira, ili Dunia yetu iendelee kudumu???
Siku ya Dunia! (Earth Day)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment