SABABU ZINAZOMFANYA CHURA ATOE ULE MLIO WAKE WA AJABU HASWA NYAKATI ZA USIKU NI HIZI HAPA:


->Hutoa sauti hizo wakati wa kujamiiana.
->Kuwajulisha wenzie sehemu aliyopo (Location advertisement).
->Ishara ya kulilinda eneo lake analokaa(defending territory).
Na chura wengine ambao ndo husikiliza, hurudisha majibu kwa kutoa sauti hiyo kwa nguvu na kisha kuishusha taratiibu.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages