NI HATARI KUTUMIA SIMU WAKATI RADI ZINAPIGA


Professor Liu Shuhua, kutoka idara ya Atmospheric science katika chuo kikuu cha Perking nchini china alithibitisha kuwa Mionzi inayotolewa na simu ( electromagnetic waves ), ni good conductor of Electricity, simu huwa kama receiver wakati radi zinapiga, kwani radi ni umeme tosha, na endapo itapata mwanya mzuri wa kutua katika receiver hiyo ndo hapo itakapo tokea dhuruba kwa mtumiaji wa simu hiyo.
Inashauriwa kutokaa maeneo ya wazi wakati radi zinapiga, pia kuzima simu, na vifaa vyote vinavyotumia network conncetions.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages