MIONZI YA TV (LUNINGA) na COMPUTER


TV na Computer hutoa "Electromagnetic fields" ambazo zina madhara kwa afya ya binadamu kama mtumiaji ata ji expose kwa kiasi kikubwa katika TV/Computer.
MADHARA YA MONZI HIYO:
-Mabadiliko ya kimwili kama vile kuharibu seli hai za mwili.
-Huaribu DNA (vinasaba vya mwili).
-kansa ya seli.
-Kusababisha Pumu.
-Kusababisha presha.
Ni muhimu watumiaji wa Tv na Computer kukaa mbali na vitu hivyo hasa watoto wanatakiwa wakae mbali na vitu hivyo wakati vinafanya kazi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages