Msemo mizuri kutoka kwa Watu maarufu duniani


1. "kuzaliwa masikini sio kosa lako, ila kufa
maskini ni ujinga wako" (Bill Gate)
.
.
2,..Failure to plan is A plan to Fail
(felix Bundala)
.
.
3. "Heri kufa na mawazo yanayoishi, kuliko
kuishi na Mawazo yaliyokufa" .. (Che Guevara)
.
.
4. "Vita inamalizwa kwa vita na ili tuachane na
matumizi ya bunduki inabidi itumike bunduki" . .
(Mao ze Dong)
.
.
5. "sitamani kumjua babu yangu alikuwa nani,
ninachotaka kufahamu mjukuu wake atakuwa
na tabia gani".. (Martin luther king)
.
.
6. "Usimuulize mtu yoyote anayenijua mimi
maana utamjua yeye kupitia mimi" . .(Joe lescot)
.
.
7. "mwonekano siku zote hutengeneza
uwezekano" . . (lucky Crackent)
.
.
8. "Hatuwapendi wanawake kwa sababu ni
wazuri, ila tunawaona wazuri kwa sababu
tunawapenda". . (lucky crackent)
.
.
9. "watu ni wengi ila binadamu ni wachache". .
(fidel casto)
.
.
10. "Usiishi kwa sababu unaishi, tafuta sababu
ya wewe kuishi".. (Jay Ozil cazorla wilshere)
.
.
11, Hakuna mkate Mgumu mbele ya Chai
(Bob Sydou)
.
.
12, Kichwa kikubwa bila Akili ni Adhabu kwa
miguu
(thabiti Kube)
.
.
13, Uendawazimu ni cheo, Ambacho
hauruhusiwi hata kumwongoza mtoto
(leonard Mwendwa)
14 kumuongelea Wenger aondoke arsenal ni sawa na kujikuna pasipowasha au kujikuna kwenye kidonda(FesArsenal)

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages