Soma hii kwa makini

�� Habari... Naitwa Atosha Lyimo kama kawaida yangu.

�� SOMA HII KWA MAKINI ��

Watu wengi hasa vijana Kama nilivyo Mimi na Wewe Tunapenda Sana Maisha ya mafanikio, kuwa na gari zuri, nyumba ,kampuni, kuwa moja ya watu wa kubwa dunia na vitu vingi vya thamani.Je ulisha wahi jiuliza utavipataje vitu vyote hivyo ? Watu wengi wameshindwa kufanikiwa katika mambo yao kwa sababu
1) Kuishi kulingana na historia ya familia yake, kabila, au ukoo wake.

2) kusikiliza Maneno ya watu walioshindwa na wasiokuwa na fikra chanya juu ya mambo na wanao amini kuwa huwezi kufanya kitu chini ya jua kikafanikiwa.

3) Ngozi yake au kwa vile yupo katika Taifa fulani hivyo hatoweza kufanikiwa na mengineyo mengi.

Ngoja nikwambie ndugu yangu haijalishi Rangi ya ngozi yako,Taifa ulilopo, Historia ya familia yako kwamba walikuwa maskini, Elimu yako na mengine mengi .Mwenyezi mungu hakuumba watu wachache ili peke yao ndio wafanikiwe No watu wote ametuumba Tufanikiwe na wote anatupenda na hakuna anayempenda zaidi ya mwengine. Mungu ametupa akili, Vipaji na Karama mbali mbali ilituweze kufanikiwa na kwakutumia ubongo na akili zetu tuweze kuchagua vitu ambavyo vitatufanya tufanikiwe. Amua leo kutaka kufanikiwa, usiangalie historia ya familia YAKO, au maneno ya watu walio shindwa , Tambua kitu kimoja Tupo tofauti na ndio maana alama za vidole vyako hazifanani na MTU yoyote yule ambaye yupo hapa Duniani Wewe ni Wewe na hakuna Kama Wewe. Naomba Wewe unayesoma ujumbe huu Kama unatamani kufanikiwa na kuyafikia malengo ulio jiwekea katika maisha yako nitumie SMS  no .0765553354 whatsup no. 0714303409 kuna Fursa nzuri Sana nataka nikushirikishe ili Tuweze kuondokana na  dimbwi hili la umaskini HAKUNA KISICHO WEZEKANA CHINI YA JUA.UBARIKIWE SANA.������

NAKUTAKIA SIKU NJEMA YENYE MAFANIKIO KWAKO CHUKUA HATUA SASA.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages