Alexander Smith.
Huyu anadaiwa kuwa ni TIME TRAVEL(Msafiri), alie safiri mpaka mwaka 2118, na kutoa ushaidi kuhusu mambo aliyo ya shuhudia kwa kipindi chote alicho safiri na kukaa huko.
Time Travel, ni kitendo cha kisayansi ambacho wanasayansi wana amini hii ni Matokeo kati ya muda na speed ya mwanga, kama ilivyo kwenye kanuni ya Relativity.
Sasa kutokana na nadharia hiyo , wana amini na inasemekana wapo watu wengi ambao wana safiri kutoka maisha ya sasa na kwenda katika maisha ya jayo(future life). Sasa Alexander yeye alinukuliwa mwezi january , mwaka 2018, baada ya kuludi aliko safiri , yani mwaka 2118, akiya sema yote aliyo yashuhudia mwaka 2118.
Alexander alisema kwamba,alikuwa akifanya kazi na shirika la kiintelijensia la marekani ( CIA), mwaka 1981, na kutumwa na shirika hilo, kwenda mwaka 2118, kushuhudia mambo yatakayo kuwa yana fanyika ifikapo mwaka huo.
Alexnder , alisema alipo safiri(time travel) mpaka mwaka 2118, ali skia sauti ikisema
"Amka katika future, alipo amka alijikuta yupo hospital kitandani, alimwona Nurse, aliye mwambia, Sr,kwanini umevaa kizamani sana?? Alisema aliamka na kutoka nje, ambapo alistaajabika baada ya kuona , magari ya kitembea angani, watu wote walikuwa wamevaa nguo nyeupe, pia aliwaona watu wengi wakiwa katika mahaba mazito na robot, hivyo mwaka 2118, watu watakuwa wanaoa au kuolewa na robot.
Baada ya kuludi katika maisha halisi(present), alexander alisimulia hayo yote kwa familia yake, na marafiki hata vyombo vya habari, na alibeba picha baada ya kutoka safari ya mwaka 2118, yenye mji ambapo alisema ifikapo mwaka 2118, miji itakuwa na majumba hayo..angalia picha aliyo ishika apo juu ni ya mwaka 2118, miji itakavyo kuwa.
Sasa baada ya kutoa siri, alexnder alisema CIA, wana mtafuta ana hitaji kujificha, na toka siku hiyo mpaka leo hii hajaonekana tena, hawajui wapi alipo torokea au kama CIA , wamemchukua. ✨✨MWISHO✨✨
No comments:
Post a Comment