WORLD THREE CITY(Miji mitatu ya Dunia).

WORLD THREE CITY(Miji mitatu ya Dunia). Hii miji , yani Mji wa London (Uingereza), Mji wa Vatican( Italy) na Mji wa Washington D.c( marekani), huaminika kama miji inayo ibeba Dunia, (The world trinity City). katika nyanja ya Fedha/Uchumi(Finance), Imani(Dini), na Urinzi/jesh(Military). Hii miji yote mitatu ni miji ambayo ipo katika Nchi husika, lakini ni Miji ambayo inajitegemea (state), Ina uhuru wake, Katiba yake na pia kila mji una bendera yake ya utambulisho, hata maamuzi huwa inafanya kwa kujitegemea tofauti na miji mingine katika nchi husika.

Wengine wana amini hii miji ilijengwa kwa plan/njama moja, maana ata ukiangalia mahudhui ya hii miji inafanana, kama Mnara ambao upo katika kila miji hiyo inayo fanana kama ni kitambulisho cha miji hiyo.

THE LONDON CITY, unatajwa kama mji unao ibeba dunia , kupitia nyanja ya Kifedha/Uchumi, hii ni kweli kabisa kwasababu mizunguko ya kifedha yote duniani , centre yake ni London City.

Katika mji wa londoni kuna , Bank of England, inayo milikiwa na Rothschild family, iliyo anzishwa na Nathan rothschild, hii benk ina endesha benki zote zulizopo uingereza na nyingi Duniani, kuna matawi 384, ya bank toka sehemu mbali mbali duniani, kuna benk 70, kubwa za marekani , pia london ndio makao makuu ya Freemason dunian ambao nao wanadaiwa kuwa na Utajiri mkubwa.

THE VATICAN CITY, huu unatajwa mji unao ibeba dunia , kupitia Iman/Dini, apa ni makao makuu ya dini ya roman catholics, inayo daiwa kuwa moja kati ya dini kongwe zaid toka A.C, pia hutajwa kama dini yenye wafuasi wengi zaidi, na hata kiongozi wake yani Papa, ni mmoja kati ya watu wenye Nguvu(power), Duniani.

THE WASHINGTON D.C,Huu ni mji unaotajwa kuibeba Dunia, katika swala nzima la Ulinzi/jeshi, Ndomana unakuta , marekani kupitia marais wake kutoka washington Dc , wanapo ingia madarakani wana kuwa kikwazo sana kwa nchi nyingine haswa katika maswala ya kijeshi..Mfano, Utaskia rais Obama ,kaiwekea libya vikwazo vya kijeshi, Mara trump ameiwekea vikwazo vya kijeshi Korea Kusini, kuhusu utengenezaji wa mabomu ya nyuklia.

Utaskia marekani ameingilia mzozo wa Srya, na endapo nchi inayo wekewa vikwazo ikibisha wanasababisha vita. ✨✨MWISHO✨✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages