Rothschilids Family( Familia inayo iongoza Dunia)
Hii nifamilia tajiri zaidi duniani toka karne ya 19 ,mpaka sasa karne ya 21. Mtu wa kwanza kujulikana na jina hilo la Rothschild alikuwa ni Izaak Rothchilid mwaka 1677, ndie baba wa mwanzilishi wa Familia hiyo kubwa ya kibiashara Duniani.
Rothschild family ilianzishwa na Mayer Amschel Rothschild ,alie zaliwa mwaka 1744 na kufa mwaka 1812, ambapo alianzisha hii familia ya kibiashara baada ya kuanzisha benki miaka ya 1760s, katika mji wa Frankfurt ,Ujerumani kupitia jina hilo la rothschild.
Familia hii asili yake ni Ugerumani ,katika tamaduni ya kijewishi, sasa baada ya Mayer Rothchilds kuanzisha Benki, na kuwa na mafanikio mazuri, ndipo alipo kuja na mpango wa kuanzisha Banki hizo nchi mbali mbali duniani yan "benk za kimataifa" kupitia watoto wake.
Watoto wake walisambaa nchi mbali mbali ikiwemo Mji wa london, Paris,Vienna na frankfurt ambapo katika watoto wake alio watuma ,akiwemo Sir. Nathan Rothschild (Uk), James Rothschild(paris), Carl rothchild(Austria) n.k.
Baada ya kuanzisha Benki hizo, familia ilikuja juu sana, na kuwa ndio watu wa kwanza kuanzisha mifumo ya kibenki duniani (International financing system), hivyo watu wengi walio fungua matawi ya benki walikuwa wanahudumia kupitia mifumo ya hawa jamaa.
Katika karne ya 19, walifanikiwa sana hivyo wakawa ndio wanao endesha mabenki makubwa,kalibia yote ya Dunia,kupitia wanafamilia hao ambao walikuwa wamezunguka Nchi kubwa zilizo kuwa zimeshikiria uchumi wa dunia kipindi hicho.
Sasa kadri familia ilipo kuwa inazidi kuongezeka yan vizazi kwa vizazi ndipo ,utajiri wa familia hii ulipo kuwa unazidi kuongezeka, ikawa kila uzao mpya ukitokea basi yule mtoto ana andaliwa sehemu ya kuendeleza gurudumi la biashara katika familia hiyo.
Ilifika kipind hawa rothschild family walikuwa top,yani ukizungumzia benki yeyote duniani , ilikuwa una wataja hawa jamaa,sasa baada ya kuona wameishika dunia katika mifumo ya kipesa, sasa wakaingia katika nyanja nyingine tena, ambapo walianza kumiliki Migodi mikubwa duniani, Nishati, Kilimo na uanzishaji wa viwanda vikubwa vya utengenezaji wine.
Rothschilds walianzisha Familia Kubwa nne ambazo ...
Rothschild walianzisha Familia Nne kuu ambazo zilibase kwenye Nchi familia hizo ambazo ni; ✨Rothschild Banking family of Austria ,iliyo anzishwa na Carl Rothschild.
✨Rothschild banking Family of France,iliyo anzishwa na James mayer rothschild.
✨Rothschild banking family of England, iliyo anzishwa na Sr. Nathan mayer Rothschild na hii kwasasa ndio kubwa na center ya mifumo ya kifedha duniani iliyopo london, ndomana mji wa londoni ndio mji unaojulikana kama mji unao control mifumo yote ya kifedha duniani. ✨Rothschild banking family of Germany, ilianzishwa na amschel mayer Rothschild ambae ndio muanzilishi na anajulikana kama "Baba wa mifumo ya kifedha kimataifa". 👉Pamoja na hayo Rothschild hii familia imekuwa ikihusiswa na mabaya mengi sana, kwanza kabisa inasemekana hawa ni moja kati ya Matawi ya Illuminant, ambapo unapo taja zile familia 13,za illuminant ,Rothschild ndio ya kwanza, na inasemekana hawa illuminant walimtumia ,Amschel rothschild kuanzisha hii familia, ili kusudi wa ushikilie wao uchumi wa dunia ,ili iwe rahisi katika kutimiza lengo lao la "NEW WORLD ORDER". Hawa wana husishwa kwenye vita zote Kuu za dunia ,Haswa Vita ya pili ya dunia, inasemekana hawa walimtumia Adolf hitre na benito musolin kupitia Nazi part mwaka 1920, ili kuhalibu mifumo ,mingine ya kibenk ambayo ilikuwa imeanzishwa,kwa kuhofia wenda wata pitwa, na kweli ile vita ili haribu sana mifumo mingi ya kibenk, kitu kilicho sababisha kutokea kwa " The Great Depression"( anguko la kiuchumi), kitu ambacho kiliwafanya wao pekee wabaki kupitia Benki kuu ya dunia, hivyo kutoa mikopo kwa nchi halsika kwa riba kubwa.
Hawa pia wana, husishwa pia katika french revolution(mapinduzi ya ufaransa), ili iwe rahisi kwao kuendesha biashara zao, pia hawa walihusika katika kuwasaidia Brazili kupata uhuru wao kutoka kwa ureno.
Pia hawa wamehusishwa katika kuzama kwa meli ya Titanic,kwa lengo la kuwa ua mabilionea watatu Jonh jacob, Benjamin na Isidor ambao walianzisha benki Nchini marekani hivyo kuwafanya wao wasipate soko, sasa baada ya kuona hivyo waliamua kuwa poteza ili wao wabaki katika utawala.
Hawa pia wanahusishwa na uanzilishi wa vikundi vya kigaidi ,kama islamic state na alqueda ,pia zipo agenda mbali mbali zinazo wahusu wao.
Sasa toka hii familia ilipo anzishwa mpaka sasa , ina miaka mingi sana kalibia 300, na Ndani ya miaka 150, toka ilipo kuwa ndio familia tajiri zaidi duniani ,imeendelea kushikiria mpaka leo hii, Na una ambiwa utajiri wake halisi bado haujulikani, japo kuna baadhi ya watafiti walisema utajiri wao ni dola zakimarekani bilion 400,lakini walipingwa.
Inasemekana Utajiri wao ni zaidi ya Dola za kimarekani Tilioni 500,yan ukitaka kuzibadilisha katika Tanzania Shiling, huwezi kupata jibu na usipoangalia vizuri hata simu yako inaweza ikazima, maana ni pesa nyingi sana.
Dola Tiloni 500, zina uwezo wa kuhudumia bajeti ya Nchi zote Dunia ,kwa miaka mingi, maana Nchi kama marekani ,ndio nchi inayo tumia bajet kubwa zaidi duniani na bajeti yake kwa mwaka ni Dola tilioni 4.4, hivyo ina uwezo wa kuhudumiwa kwa miaka 113 na kidogo sasa kama Nchi ya marekani yenyewe ambayo ndio top Duniani hapo inaendeshwa hivyo,sasa utakataa kwa vigezo vipi kama hawa jama Rothschild ndio waamuzi wa dunia.
Tajirili namba moja duniani Jeff bezos ana utajiri wa dola za kimarekani bilion 138, hivyo katika familia hii anaingia zaidi ya mara 4000, billigate mwenye utajiri wa dora bilion 100, apo anaingia mara 5000.
Huyo unae muona apo juu, Anaitwa Jacob rothschild, ndio mwangalizi wa Familia hii kwa sasa, yan ni mmoja kati ya watu wenye maamuzi duniani, hii familia ndio inayo semekana inayo amua dunia iende vipi, hata wakitaka kubadilisha mfumo wowote wa duniani hawashindwi, na endapo ikatokea hawa jamaa labda wanafirisika basi ujue sio hawa tu ata dunia nayo itafirisika pia.. Wanamiliki mifumo yote ya kifedha, yani benk kubwa kalibia zote duniani ( International bankers). ✨✨MWISHO✨✨✨
No comments:
Post a Comment