Most haunted photo about a japan girl who comitt sucide

Hii ni picha ya mschana mjapani ,ambae inasemekana baada ya kujipiga picha hii, ali ichukua na kuipakia / upload mtandaoni kisha yemwenyewe alijiuwa.
Sasa usichokijua baada ya kifo chake ,hii picha ni gumzo sana huko japan na dunia pia, kwasababu endapo ukaiangalia hii picha kwa dakika tano au zaidi ,ni lazima uta iota ndotoni picha hii, ikiwa inamtoka damu puani.
pia wengine wanasema sio ndotoni tu, ata katika uhalisia ukiiangalia sana lazima utaona mabadiliko mwilini mwako ,hata katika picha hiyo na kukufanya ushindwe kuiangalia sanaa.
hii,story ni maarufu sana Nchini japani, Nenda youtube au google katafute " Most haunted photo about a japan girl who comitt sucide" utaijua vizuri

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages