Watafiti wagundua namna ya kupima damu na kugundua saratani zisizopungua 10 kabla hata dalili kujitokeza. Ugunduzi huu utarahisha matibabu ya saratani kwa maana nyingi hutibiwa na kupona kabisa zikigunduliwa mapema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment