Klabu ya Bohemians kutoka nchini
Ireland imezindua jezi yake mpya ya ugenini kwa mwaka 2019 ambayo ina sura ya nyota wa muziki wa rege, Bob Marley. Jezi hiyo imetengenezwa kuonesha heshima kwa msanii huyo aliyetumbuiza kwenye uwanja wa klabu hiyo, Dalymount Park mwaka 1980.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment