Jina la kwanza la jiji la Los Angeles lilikuwa ni
"El Pueblo de Nuestra Señora la Reina de los Ángeles del Río de Porciúncula,"
("The Town of Our Lady the Queen of the Angels of the River Porciúncula")
Los Angeles ni mji wa Kalifornia ya kusini. Ni mji mkubwa kuliko yote ya Kalifornia na mji mkubwa wa pili wa Marekani wenye wakazi 3,847,400 mjini penyewe na hadi milioni 18 katika rundiko la mji.
Mji uko kando ya bahari ya Pasifiki katika tambarare kati ya bahari na milima. Mtaa maarufu mjini Los Angeles ni eneo la Hollywood.
No comments:
Post a Comment