watoto wanaotumia masaa zaidi ya mawili kuangalia televisheni, kompyuta au simujanja

Kulingana na utafiti wa Chuo Kikuu cha Bristol, watoto wanaotumia masaa zaidi ya mawili kuangalia televisheni, kompyuta au simujanja wana uwezekano mkubwa wa kuwa na matatizo ya kijamii na kitabia mfano kushindwa kukazia fikra kwa kile wanachofundishwa.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages