Baada ya kula wataalamu wa lishe wanapendekeza ufanye kazi rahisi

Baada ya kula wataalamu wa lishe wanapendekeza ufanye kazi rahisi kama kuosha vyombo, kutembea eneo la karibu kwa maana husaidia mwili kutumia vizuri vyakula ulivyokula na kukukinga na uzito kupita kiasi ikiwa kazi yako inahusisha kukaa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages